MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AINGIA MKOA WA PWANI, AUNGURUMA MBELE YA MAELFU MJINI BAGAMOYO

MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AINGIA MKOA WA PWANI, AUNGURUMA MBELE YA MAELFU MJINI BAGAMOYO


 Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kuhutubia mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Jumatatu Oktoba 19, 2020
 

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Mtopa  akiomba dua kabnla Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara wa kiampeni mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Jumatatu Oktoba 19, 2020