Wanajeshi wa KENYA Wamuua Gaidi wa al-Shabab na Watoto Wake Wawili....


Katika Hali isiyokuwa ya kawaida wanajeshi wa Kenya KDF wamewaua watoto wawili wanaokuwa wanaishi na baba yao ambaye anashukiwa kuwa Ni gaidi wa ALSHABAB.

Hali hiyo ilitokea wakati polisi walipofika katika makazi ya gaidi Huyo ambaye aliwatumia watoto hao kuwaokoa watoto hao Kama ngao ya kuzuia KDF wasimkamate.

'Gaidi Huyo alikataa kukamatwa Kisha kurusha grunate la mkono, ambapo wanajeshi walijibu kwa kuvurumisha risasi zilizomuua gaidi Huyo na watoto haowawili.

Mke na watoto wengine watatu wa mshukiwa Huyo ambao nao walijeruhiwa wamelazwa hospitali.

  NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡