Tanasha DONA Kaulizwa Kama Yuko Kwenye Mahusiano....Jibu Lake Hili Hapa Hakika Litakushangaza



NI Headlines za mrembo Tanasha ambae amehojiwa na WillyTuva kuhusu kama yuko kwenye mahusiano kisha akasema kuwa yuko kwenye mahusiano na kazi zake za muziki na wale si na mtu.

Jibu hilo linatudhihirishia kwamba Penzi lake na Diamond limevunjika .

Na upande mwingine akataja vigezo vya Mwanaume anaetamani awe nae kwenye mahusiano

Vigezo alivyovitaja hivi hapa:
Awe Mchapa Kazi
Awe Mcha Mungu
Awe Mzuri wa Sura

Kama Unavyo vyote hivyo mtu wangu mcheki mwanadada DM bahati inaweza kukuangukia walahi

  NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡