Mke wa Polisi Aliyeua Mtu Kwa Kumkanyaga na GOTI Afunguka...Mume Wangu Kafanya Ukatili Mkubwa..Nataka Talaka
Kellie Chauvin, Mke wa Derek Chauvin Polisi ambaye anatuhumiwa kwa kumkanyaga shingoni George Floyd hadi kupelekea kifo chake, amedai talaka kwa Mumewe, kupitia kwa Wakili wake Kellie amewapa pole Ndugu wa Marehemu Floyd na kusema Mumewe amefanya ukatili
NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP ππππππππππππππππ