JOH MAKINI AWAOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA
JOH Makini, 'Mwamba wa K
askazini amewaomba watanzania kuzidi kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili kuwa salama.
Kwa sasa dunia imevurugwa na Corona kutokana na kusimamisha shughuli nyingi za kila siku jambo ambalo linapoteza ile furaha ya asili.
Joh Makini amesema:" Muhimu kila mmoja kuchukua tahadhari ili awe salama yeye na jamii yake inayomzunguka, ninapenda lila mmoja akawa salama huku akifuata ushauri na utaratibu uliowekwa na Serikali pamoja na Wizara ya Afya,".