AZAM FC HAWASAHAU BALAA LA SIMBA TAIFA
IDD Seleman, 'Naldo' msha
mbuliaji wa Azam FC amesema kuwa miongoni mwa mechi ambayo ilikuwa na presha msimu huu ni ile dhidi ya Simba walipokubali kichapo cha mabao 3-2.
Azam FC iliyo chini ya Arstica Cioaba imepigwa nje ndani na Simba msimi wa 2019/20 ambapo mchezo wa Kwanza ilikubali kichapo cha bao 1-0 na ule wa pili walichapwa mabao 3-2. "Ulikuwa ni mchezo mgumu na presha kubwa ukizingatia kwamba tulianza kufunga tukaamini kwamba tutasepa na pointi tatu mambo yakawa tofauti," .
Azam FC ipo nafasi ya pili Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara imejikusanyia pointi 54 baada ya kucheza mechi 28.