FAIDA MOJA MUHIMU YA VITUNGUU SWAUMU KWA MWANAUME NA MATUMIZI YAKE, PIA TUMEGUSIA FAIDA YA MBEGU ZA MLONGE
Matumizi ya vitunguu swaumu katika kutibu nguvu za kiume ni katika kuzitumia kwa kutumia maziwa mgando orijino ya ng’ombe.
Unachotakiwa kufanya kuandaa japo punje 10 za vitunguu kisha unazikata vipande vidogo vidogo yaani unazi-chop.
Unachotakiwa kufanya kuandaa japo punje 10 za vitunguu kisha unazikata vipande vidogo vidogo yaani unazi-chop.
Baada ya hapo kumbuka utakuwa na maziwa yako mgando glasi 1. Weka hizo punje zako za vitunguu swaumu ulizozichop. Changanya vizuri kabisa k isha kunywa vyote. Utafanya hivyo kila siku asubuhi unapoamka kwa muda wa siku 14(wiki mbili). Ni lazima utaona mabadiliko. Kitunguu swaumu hufanya kazi ya kusaidia kuongeza mzunguko wa damu mwilini hasa viungo vya uzazi na kwa mantiki hiyo kusaidia usimamaji imara wa uume.
Kwa upande wa mbegu za mlonge matumizi yake ni kutafuna mbegu 3 asubuhi na pia jioni unatafuna 3.
Mbegu hizi zina nguvu nyingi sana ikiwa ni pamoja na kufanya kiwango cha sukari kiwe vizuri mwilini, husaidia matatizo ya tumbo na minyoo mibaya tumboni, tatizo la kukosa choo na mengine.
Mbegu hizi zina nguvu nyingi sana ikiwa ni pamoja na kufanya kiwango cha sukari kiwe vizuri mwilini, husaidia matatizo ya tumbo na minyoo mibaya tumboni, tatizo la kukosa choo na mengine.
Kumbuka sisi huwa tunatoa mbegu za mlonge bure kwa watu wanaochukua unga wa mizizi ya mlonge.
NB: Hakikisha unaachana na matumizi ya pombe, vyakula na vinywaji vyenye sukari, matumizi ya chipsi aina yoyote na vingine visivyofaa. Unaweza wasiliana nasi WhatsApp ili tukupatie mwongozo wa vyakula salama kwa Afya yako.
Kwa mahitaji ya unga wa mizizi ya mlonge, dawa ya chango la uzazi na unga wa Msamitu unaweza kuwasiliana nasi kwa namba hapa chini.
πWAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO