Kuna hali inarudi kwa kasi mno… Wazee kuoa mabinti wadogo sawa na watoto wao ama hata wajukuu
Kipindi cha nyuma walijulikana kama wazee wa bandari lakini hawa hawakuwa waoaji bali waliwaweka tu vimada kwa kuwqpangishia chumba, upande mzima ama nyumba kamili…
Siku hizi hiyo haipo tena… Mzee akifika bei binti anataka ndoa… Japo kiuhalisia mzee anaibiwa tuu…
Wadogo zetu mko wapi? Mnakosea wapi?
Mnajichua sana, show off nyingi, six packs na kujipodoa kwingi…. Kwa mwanamke mapenzi ni zaidi ya hivyo vitu…