Kudanga Vs Uchangudoa: Tofauti iko Wapi ? Je Kudanga Imehalalishwa?



Wasalaam wakubwa na wadogo ,
Siku hizi msemo wa kudanga umeshika sana momentum yaani tena waziwazi kina dada wanakwambia sina kazi yeoyote nina danga tu, hivi kuna tofauti kati ya kudanga na uchangudoa hadi watu wajitoe ufahamu na kuona udangaji kama moja ya kitu halali kabisa ?