Kwa nini wanaume hununua sex?
Mwanaume anaondoka na kwenda kumtafuta mwanamke wa kumlipa fedha ili ampe sex bila kuhusisha upendo au mahusiano wala kuhusisha hisia kati ya wawili.
Suala la wanawake Malaya (prostitutes) kuua mwili kwa wanaume ni suala la dulia zima haijalishi ni mzungu au mweusi au muasia, wasomi na wasio wasomi, maskini na matajiri, waliooa na ambao hawajaoa wote wamekuwa wakijihusisha na hii tabia.
Wanaume walioulizwa kwa nini wanaenda kununua sex wengi walitoa Sababu zifuatazo Ingawa walikiri kwamba wakati wa sex na hao Malaya huwa wanajisikia aibu, hatia, na hisia hasi kulipa ili upate sex.
Sababu kubwa ya wanaume kununua mapenzi wengi walikiri ni kumridhisha hitaji ya sex na raha yake kwa wakati ule (32%)
Waliofuatia walisema Sababu kubwa ni kutaka kupata ladha Tofauti ya mwanamke (21%)
Wengine walikiri kwamba wanaenda kununua sex kwa Sababu hawapati kile wanahitaji kutoka kwa wake zao nyumbani (20%)
Wengine walikiri kwamba ni kwa Sababu wao wana fedha na Malaya wanapatikana bila Tatizo (15%)
Asilimia 8 walikiri kwamba wananunua sex kwa Malaya kwa Sababu ya kufurahia tu sex ( thrill/surprise)wanayopata
Na asilimia 3 walikiri kwamba kununua sex kwa Malaya ni addiction ambayo imo ndani yao kama walivyo walevi au wavuta sigara.
Je, hawa wanaume hufanyia wapi hivi vitendo vyao ya kununua sex na Malaya?
Wengi walikiri kwamba sehemu ambazo unaweza kununua sex kwa Malaya ni kwenye danguro (60%), sehemu za kufanya massage (47%), wana
otoa huduma za kusindikiza (33%) na Saunas (27%).
Sehemu zingine ni makaburini, kwenye magari na wakati mwingine huchukuliwa majumbani kwa hao wanaume.
Hata hivyo cha ajabu ni kwamba hawa wanaume wanakiri kwamba kama Hakuna Malaya wa wao kununua sex wangeweza kubaka kama Hakuna kukamatwa na wanaamini kwamba hawa Malaya hawana haki au kuongea chochote wakati wa sex kwa kuwa wamewanunua.
Je, hawa wanaume hupata kitu gani kwa hawa Malaya wanaowauzia sex?
Wengi wanakiri kwamba Hakuna kipya wanakipata kwa hawa Malaya na baada ya sex hujikuta wapo empty moyoni, aibu na kujutia matumizi ovyo ya fedha hata hivyo cha ajabu pamoja na kujisikia vibaya bado wanaendelea kwenda kununua hiyo huduma.
Hata hivyo wapo wanaume ambao wamekiri wazi kwamba hawajui namna ya kujihusisha na mwanamke na kufanya bonding ya mapenzi hivyo njia rahisi kwao ni kulipa na kumpata huyo Malaya.
Je, Malaya nao hufurahia sex Wakiwa na wateja wao
Mmoja ya mteja amesema si sahihi kwa Malaya kupata raha ya sex kwa kuwa hana haki Kwani ameuza na kazi yake ni kumpa raha aliyenunua vinginevyo utakuwa ni uchakachuaji.
Je, wanawake Malaya wana sifa Tofauti na wanawake wengine?
Wazoefu ya hiyo huduma wanakiri kwamba ni kweli wanao uwezo wa kufanya vitu ambavyo mwanamke wa kawaida hawezi kuvifanya kwa mwanaume vitendo ambavyo wengine huviona kama vinachefua.