SMS ZA MAPENZI

Penzi ni kama jengo lilokosa nguzo muda wowote unahisi litadondoka...... . Usielewe vibaya sikukatazi Kupenda au Kupendwa, ila tazama wapi Umependa au Umependwa'Je kumpenda asiye kupenda ni sawa na kusubiri boti airport.