SMS ZA KIMAHABA ZA KUMLIWAZA NA KUMFURAHISHA MWENZI WAKO

Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ?
Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo,
ndugu zako wanaotugombanisha 
na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi.
Mapenzi yetu yadumu daima.
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
“Umbali si shari ila kujua hali ni mali”,
“jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”,
“japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali”
I LOVE U
……………………………….
Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,,
STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,
SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua, ila napenda
jinsi anavyo CORDINATE na wa2, nafurah kwa kuwa naongea
nae SIMULTANEOUSLY, ila naamin ubongo wake una FUNCTION
atajua kuwa nampenda yaan nahic kama niko kwny CIRCLE
kwan najitahd kumpuuza lakin is very long MATRIX .
Nafikir ushamjua kwan shep yake
ni SIMPLE POLYGON namzungumzia MATHEMATICS!!
Chezea
…………………………..
Katu si kila rafiki ni msafi
wa moyo. Wengine ni wanafiki
wanakuonea choyo. Hutamani
ufariki wachukuwe upendayo.
Hawa hawafadhiliki husda ni
kazi yao, kila unachomiliki
hutamani
kiwe chao. lau kama husadiki
jaribu kukaa nao.Mchana mwema.
……………………..
Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta
amechoka mpe “POLE” ukimkuta mpweke”MLIWAZE” ukimkuta
anahuzun muulize kwa nn akikupa jibu “MTATULIE”
……………………….
Uliposema wanipenda sikuamini ipo siu utaja nitenda!, nilikueleza nini napenda nawe ukaapa yote kutenda kwakuwa wanipenda, leo umebadirika waanza nitenda, hivi kweli bado wanipenda??
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ulipolihitaji langu penzi ulidiriki hata kulimwaga chozi leo umepata langu penzi waniletea pozi, siwezi lazimisha penzi pasipo na penzi, amini nilikupenda ila nimeshindwa na zako pozi, nakutakia maisha mema na huyo wako mpya mpenzi. Be blessed..!!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika uliuteka moyo wangu, nikaamini u wangu peke yangu, nikaziba masikio yangu yote niliyoambiwa na rafiki zangu, kumbe naidanganya nafsi yangu. Its over baby!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hivi kwanini kila siku mimi nimekuwa mtu wa majonzi, niliamini we ndiye wakunifuta machozi kumbe zilikuwa njozi, siamini kama umeniongezea majonzi, asante sana mpnz!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Tangu nilipokufunulia pozi waniletea, mawasiliano yamepotea na kila tupangapo mihadi kwako huwa ngumu kutokea, niweke wazi nijue kama ndiyo mwisho wa penzi letu
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kila siku naishia utamu kuuckilizia njozini unaponijia, najiuliza lini utanivulia niachane na ndoto tele ndotoni zinazonijia?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
m?y?ni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea,
sijui ni nini nilikukosea kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea kumbuka nilikupenda