MANENO MAZURI YA KUONGEZA UPENDO KWA MPENZI WAKO August 26, 2019 Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi.