UJUMBE WA MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------πMUME NI MTAMUπ
ππMume Ni MTAMU ππ
ππππΎMke nywele zako ndefu unashauriwa kuzielekeza nywele zako kando mbali na sura yawako mkiwa mmelala namna hii. Itamfanya Mume wako kuwa huru wakati amelala.ππ
Funga nywele zako vizuri na uzielekezee kando ili asije kukosa pumzi kwa sababu ya nywele zako na kutokuwa na umakini.ππππππ
πππMwanaume pale mwanamkeππΎππΎππΎ anapokukumbatia, hakikisha unamfanya awe huru.Epuka ‘kumkaba’ kwani akilala vibayaπ akiwa amekukumbatia ataamka akiwa naππ maumivu ya shingo kutokana na mkono wako.
ππ Mume Ni MTAMU ππ
πππKama Mume anapenda kulala upande wa ukutani, basi muachie nafasi na uepuke kumsogelea sana. Itasaidia kupata usingizi mzuri na kuboresha uhusiano wenu.πππΎππΎ
ππMume ni MTAMU ππ
πππMnapolala na mtoto, mkumbukeππΎππΎ kumlaza katikati yenu na muepuke aina zaπ ulalaji ambazo mwisho wake itaonekana kama mpo kwenye mapambano ya karate au mieleka.
Nyongeza: Unaweza lala na MUME/MKE wako unahisi kuzimia kwa kukosa hewa maanaππΎπ wengine wanakaba kama nini na vile wananuka midomo khaaaaaππππππππππ
ππMume ni MTAMU ππ
Usije ukadhani au kufikiri hazinashida nywele hataakizielekeza alipo Mume❗& Shida ni pale nywele zinakuwa na harufu fulani za kupakwa mafuta bila kuoshwa na ukijumlisha ni za bandia πππππππsasa alafu chafuππΎ
Nywele safi ni nzuri kuanzia kuzishika hadi kuziona..
ππMume Ni MTAMU ππ
Mawigi na mvua na Yamechacha , nunua mwavuli mdogo weka kwenye bochi , mvua ikinyesha jikinge huko ndiko KUTUNZA harufu njema ♥ Kwani mawigi tu❓ Si kuna zile za kushonea pia , rasta za kusikia , hata natural hair (nywele Asilia) Tuza nywele ziwe Asilia au za bandia ππ Zingatia usafi Mfano Peruvian hair zikinyeshewa manyunyu zinakuwa na kauvundo mkilala Hakuna hewaaππΎππΎππΎππΎππΎ
Wanawake tukiwa natural na simple huwa twapendeza saana . Ila ndio hivyo sio vibaya kuwa na Wingi na Kadhalika ππππππ
ππMume Ni MTAMU ππ
Angalau leo unaweza ongea lugha moja Mume/Mke WAKO π bila upinzani. Sababu vitu viko wazi kabisa ni kiasi cha kuangalia tu kipi ni sahihi wakati wa kulala na Mume wako.
Pia ni kwambie tu Mwanamke mwenzangu siku zote usingizi ni kitu kingine bana πππ
Ila ukisema ukae tu na natural hair π anajua Mke wake ni mkono wa birika wa kutoaπππΎ gharama.πππππππππππππ
Hahahahahahhah tunapenda urembo Ukitaka kusiwe na harufu Wanawake tubadirisheππ nywele πππππππππππππ
Huu ni ujumbe Wa
MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------πMUME NI MTAMUππππππππππ
ππMume ❤ ni THAMANI yapasa KUMWESHIMU , MUNGU π mtoa vyote na Mume pia utoka kwake , kwani nini kumdharau wakati wengine hawana wanaomba mfano wa chozi ndani ya jicho , likitoka tu LINDONDOKE kwenye SHAVU , Wasipanguse LIGANDE kwenye viganja vyao alafu Mke waleta dharau
ACHA KIMUCHUKIZA MUNGU ππ Mume ni mtamu πππππππππKwa sababu AMEKUPENDA WEWE ππMwoshe Upendo wa dhati , wala usififie kadri miaka iendavyo ndivyo UPENDO ❤π uongezeke , Mume akusifu na aendelee kunena Binti za watu wengi wametenda mema. πππLakini wewe
umewapita wote . MUME MTAMUπππ
ππMume Ni MTAMUππ
♥♥♥Kwa nini π waruhusu fitina❓ππ zikwepe MUME NI MTAMU π Mpende na umlinde hilo ni jambo jipya MUNGU amelifanya Mke atamlinda Mume wake , ulizi ufanye kujisikia KUPENDWA , katu Moyo wake usijute Kukuoa maana Wewe ni Mkewe amcha BWANA π moyo wako umejaa Maarifa , kwani upendeleo hudanganya , na uzuri ni ubatili , Bali Mwanamke amchaye BWANA , ndiye atakayesifiwa❗
ππMume Ni MTAMUππ
♥♥♥
Mtumie ujumbe wa Mapenzi sio idadi ya mahitaji , mahitaji usemwa bafuni mkiwa mwaoga wote Wawiliπππ Akiwa kazini jumbe za faraja ndio CHEMCHEMI ππππ
ya kuonyesha jinsi unavyomuwaza awapo mbali na wewe , akirejea toka kazini π MUME ni MTAMU ❤ Umeivua kanzu yako , uivaeje❓
Umeitawadha miguu uiichafueje❓Mpendwa wako autia mkono wake tunduni . Na moyo wako umechomeka kwa ajili yake . Ondoka Mke mfungulie Mpendwa Mumeπππππ
Wahitaji uwepo wa Mume na hasa kumbatio lake lenye kina cha mapenzi MUME ni mtamu
ππMume Ni MTAMU ππ
♥♥♥
Kujivunia ni haki yako kwani tunda lako bidhaa ya faida ; Taa yako hazimiki usikuπππππ
Mume ni utamu maridhawa ,hakika atakupenda
TUNDA lako la angaliwa Mume ni mtamu wala
Mwenyewe π❤ππππππππππ
Jinsi anavyokuchanganya Mume ni mtamu π
ππMume Ni MTAMU ππ
Aamke amkute ubavuni wake, anamjulia hali. Za Asubuhi ππ TAMU wewe, anakwenda kazini huku anaikumbuka Asubuhi ya kifungua kinywa na Mkewe na anamtumia vijitextππͺ nilikuwa ninakucheck tu π Wifeπͺππππ
Mume ni mtamu ππππππππππ
ππMume Ni MTAMU ππ
Warudi nyumbani kutoka kazini πππππ unafahamishwa mtaani kuwa wewe ni mke wa flani. Ukisikia tu like jina ni kama barafuππ imepenya kooni ndani ya joto la December.
Jamani πππ Mume ni MTAMU
πππππ
Jikoni unatoa ufundi wako wote, kitunguuππΎπ shurti ukatie kwenye kibao. Na unamsubiri ule nae.
π΄NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE π