ZINGATIA HAYA UWAPO NA MPENZI WAKO CHUMBANI

1. WEKEZA MAWAZO YAKO KWA MPENZI WAKO – Pindi uwapo chumbani na mpenzi wako jaribu kuwekeza mawazo yako kwa mpenzi wako ulie nae kwa muda ule, epuka kufikiria mambo ya nje yaliyotendeka usiyape nafasi mawazo yako kufikiria vitu vingine.
Unapokuwa chumbani na mpenzi wako jitahidi kuacha mawazo tofauti yasiyohusiana na tukio mnalotaka kulitenda wewe na mpenzi wako hata kama siku hiyo kuna mtu alikuudhi na unahasira au pengine kunajambo lolote limekutokea kwa siku hiyo basi jaribu kuvisahau na mawazo yako yawe katika mazingira mliyopo wewe na mpenzi wako.
Kwani mapenzi ni hisia sasa endapo kama utakuwa upo ndani na mpenzi wako halafu ukaanza kuwa unafikiria- vitu vingine itapelekea kushindwa kulifurahia penzi vizuri kwani mawazo yako yatakuwa hayako pale. Hivyo nivizuri kuwa makini na kuziwekeza fikra zako zote katika sehemu husika uliyopo.
2. EPUKA KUPIGA STORY ZISIZO HUSIANA NA MAPENZI – Mpenzi msomaji fahamu kuwa pindi unapokuwa chumbani na mpenzi wako hupaswi kuanzisha mada zilizo nje ya mazingira husika.
Elewa kwamba uko chumbani na mpenzi wako kwa lengo la kutaka kufurahia mapenzi hivyo maongezi yako yanatakiwa yalenge mada husika, usianze kupiga story za ajabu ajabu jitahidi kuongelea suala zima la mapenzi kwa kumpa maneno matamu mpenzi wako ya kimahaba unaweza kuanzisha mada ila ihusiane na mapenzi na isiwe ni mada ndefu mpaka ukamboa mpenzi wako.
Kuwa makini- zungumza nae kwa muda mchache na viwe ni vitu vya msingi na vyenye maana usianze kuzungumzia habar za watu au habar za nyumban kwenu zungumzia vitu vinavyokuhusu wewe na yeye kwa wakati ule na usiwe muongeaji sana.
Jitahidi kuongelea mapenzi yenu huku mkiwa katika mikao ya kimapenzi kama kulaliana n.k. Epuka kuonekana dhaifu pindi uwapo chumbani na mpenzi wako.
3. EPUKA KUMWAMBIA NAOMBA TUFANYE MAPENZI – kitu cha 3 cha kuzingatia unapokuwa chumbani na mpenzi wako kwa lengo la kutaka kufanya nae mapenzi ni kuepuka kumwambia “NAOMBA TUFANYE MAPENZI”.
Tambua kuwa mnapokuwa chumbani na mpenzi wako lengo lenu linakuwa ni kufanya mapenzi kwani kabla ya kukutana katika eneo lile mnakuwa mmeishapanga mkutane kwa lengo la kufurahia mapenzi.
Sasa mpenzi wako atakuona ni mtu wa ajabu pindi utakapomwambia kuwa unahitaji kufanya nae mapenzi wakati kaja kwako akiwa anajua anakuja kufanya tendo husika la mapenzi hivyo utakapomwambia suala kama hilo kiukweli atashindwa kujua akujibu vipi na mara nyingi suala kama hili ukimwambia mwanamke si rahisi kukubali lazima atakukatilia kwa kukwambia hayuko tayari kwa siku hiyo kufanya mapenzi na wengi wao hutoa sababu mbali mbali.
Hivyo unachotakiwa kukifanya ni kuanza na matendo moja kwa moja anza kumshika shika mvue nguo zote mchezee kisha anzeni tendo ila sio umwambie nataka tufanye mapenzi.
4. USIMUACHE MPENZI WAKO AJIVUE NGUO YEYE MWENYEWE – Jambo- -lingine kuu na la mwisho lakuzingatia ni kuepuka kumuacha mpenzi wako avue nguo zake yeye mwenyewe.
Faham kuwa pindi uwapo chumbani na mpenzi wako si vyema kusubiri mpenzi wako ndio avue nguo zake yeye mwenyewe unachotakiwa kufanya ni wewe kuanza kumvua nguo moja moja na sio kumvua kwa kukurupuka yani mmeingia2 chumbani halafu unaanza kumvua hapana
Hakikisha unaanza pole pole pengine unamchezea chezea sehemu za kawaida unaanza kumtoa nguo ya juu huku na huku mara umefata nguo ya chini unaendelea kumchezea chezea huku unamvua nguo nyingine mpaka unamtoa zote.
Usimwambie yeye ndio azivue kwani si rahis kwa walio wengi kukubali tu kuanza kuKelele za mahaba kitandanivua ila ni wajibu wako wewe mwanaume au mwanamke kuanza kumvua mpenzi wako.