PUNYETO INATESA AISEE



Naombeni msaada jamani mimi nina miaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekuwa ni muumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wa pili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.