MPE VIPAUMBELE MPENZI WAKO





Vipaumbele kwenye maisha vipo vingi na kila kimoja kina nafasi yake,,,mwenza wako kuna wakati anahitaji muda wako tu na si kingine,,,wakati mwingine atahitaji umwoneshe kuwa yeye ana nafasi gani katika maisha yako ili awe na uhakika wa usawa,,,uhalisia wa ukweli wa penzi lako kwake,,,,,,unaposhindwa kumpa kipaumbele au muda wako,,,tambua kuwa atahisi kuwa una mwingine muhimu zaidi yake na hata upendo wake kwako utakuwa wa mashaka sababu ya kukosa uhakika kama anapendwa au hapendwi.