JIFUNZE KUMUDU HISIA ZAKO ILI USIENDESHWE NA MAPENZI



Mapenzi ya kweli ni yale ambayo watu huumizana kiasi,,hugombana kiasi,,husumbuana kiasi,,hulizana kiasi,,zaidi ya yote hawa wawili hutumia busara na hekima kufutana machozi na kuruhusu tabasamu kurejea ndani yao na kupanga maisha pamoja,,kusikilizana,,kuheshimiana,,kufanya yampayo amani kila mmoja wao,,zaidi ya yote kila mmoja kuijua thamani ya mwenza wake na upendo wake,,,,HILO NDILO PENZI LENYE NGUVU