Skip to main content

Mapenzi Konki

Search This Blog

May 30, 2019

Popular Posts

Image

YAJUE MADHARA YA KUNYOA MAVUZI KABLA YA TENDO

Kulingana na Dkt Ignitius Kibe, Mungu aliumba binadumu awe na nywele hizo anapobalehe kwa sababu kadhaa na pia zina umuhimu sana hasa wakati wapenzi waposhiriki kitendo cha ndoa. Akiwa kwenye mahojiano na runinga ya Citizen Jumatano Machi 27, daktari huyo alisema nywele hizo husaidia sana wakati wa kitendo cha ndoa. Aidha, daktari huyo alisema sio salama kuzinyoa kwani mtu anaweza pata vipele na michubuko kwenye sehemu za siri " Mimi kwangu binafsi napendelea hizo nywele ziwepo, zina umuhimu sana wakati wapenzi wanaposhiriki kitendo cha ndoa," Dkt Kibe alisema. Daktari huyo alisema wale ambao hunyoa nywele hizo wanahatarisha maisha yao kwani ni rahisi kuambukiwa magonjwa ya zinaa.
Image

‘Mahakama’ yamwamuru Manji kuwalipa waandishi wa habari Sh232 milioni

‘Mahakama’ yamwamuru Manji kuwalipa waandishi wa habari Sh232 milioni Dar es Salaam. Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) Kanda ya Dar es Salaam- Temeke imeiamuru kampuni ya Quality Group Limited kuwalipa waandishi wake wa habari wa zamani 23 iliowaachisha kazi mwaka 2017, jumla ya Sh232,324,172.96 (zaidi ya Sh232 milioni). Tume hiyo inayofanya kazi kama Mahakama ya Mwanzo ya Migogoro ya Kazi, iliiamuru kampuni hiyo inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu Yusufu Manji, kuwalipa waandishi hao kiasi hicho cha pesa, baada ya kuridhika kuwa ilivunja mikataba baina yao kwa kuwaachisha kazi bila sababu maalumu. Ilifikia uamuzi huo baada ya wanahabari hao kufungua shauri la mgogoro wa kikazi, wakipinga uamuzi wa kampuni hiyo kuwaachisha kazi kabla ya muda wa mikataba yao w miaka miwili waliyosainiana kuisha. Wanahabari hao walikuwa wakifanya kazi katika gazeti la JamboLeo, lililokuwa likimilikiwa na kampuni ya Manji ya Quality Media Ltd, ambapo waliachishwa huku mlalamikiwa akitoa sababu ...

MUGALU ATAKA KUFUNGA MABAO 15 NDANI YA LIGI

Pata Ajira   ya ndoto yako leo BONYEZA HAPA ili kuperuzi Nafasi za kazi Zinazotangazwa kila siku DOWNLOAD/INSTALL Ajiraforum App zisikupite
Powered by Blogger