!?
Jamani mm nina umri wa miaka 23 na nimetunukiwa shahada yangu mwaka jana tu, lkn bado suala la ajira ya kujiajiri ama kuajiriwa halijakaa sawa.
Lakini kinachonipa kero ni usumbufu ninaopata mimi na wazazi wangu wa kuwapokea hawa watu wazima ama wazee wanaotumwa na wanaosaka uchumba kwangu. Kila wiki wanakuja mara 2 au 3.
But I'm still too young kuingia kwenye ndoa now. Nataka nijiweke sawa kiajira kwanza and then in late 20s or early 30s ndiyo nitafikiria mambo ya kuolewa.
Naombeni ushauri guys, nifanyeje to stop these people from disturbing me and my parents? It is too much!