Mwanaume na damu ya hedhi




Naombeni kujua ukweli kuhusu hili , nakumbuka mama aliniambia nichunge Sana kumuudhi mwanamke kwani anayo sumu Atari inayo ua pole pole(damu ya hedhi) ila Hadi Leo hii kitu sijaielewa kabisa naombeni maoni yenu kwa wataalamu wa haya maswala.je, nikweli mwanaume akilishwa damu ya hedhi anakufa?